Revelation of John 5:1-2

Kitabu Na Mwana-Kondoo

1 aKisha nikaona katika mkono wake wa kuume wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi, kitabu kilichoandikwa ndani na upande nje kikiwa kimefungwa kwa lakiri saba. 2 bNami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, akisema, “Ni nani anayestahili kuzivunja hizo lakiri na kukifungua kitabu?”
Copyright information for SwhKC